MwanzoDhikriFadhila za tasbiih, tahmiid, tahliil na takbiirdhikri 11

Fadhila za tasbiih, tahmiid, tahliil na takbiir — dhikri 11

فضل التسبيح و التحميد، و التهليل، و التكبير · Hisnul Muslim · 11 / 12

Soma · SikilizaFaili la PDF

((إِنَّ أَفْضَلَ الدُّعَاءِ الْحَمْدُ لِلَّهِ، وَأَفْضَلَ الذِّكْرِ لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ)).

Bora ya dua ni mtu kusema: (Alhamdu liLLahi). ''Kila sifa njema ni za Mwenyezi Mungu.'' Na bora ya utajo (uradi) ni mtu kusema: (Laa ilaha ila LLah). ''Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu.''

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha