MwanzoDhikriAnachosema wakati wa kuchinjadhikri 1

Anachosema wakati wa kuchinja — dhikri 1

ما يقول عند الذبح أو النحر · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

((بِسْمِ اللَّهِ وَاللَّهُ أَكْبَرُ [اللَّهُمَّ مِنْكَ وَلَكَ] اللَّهُمَّ تَقَبَّلْ مِنِّي)).

Kwa jina la Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu ni Mkubwa, Ewe Mwenyezi Mungu huyu (mnyama) anatoka kwako na ni wako, Ewe Mwenyezi Mungu nikubalie.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha