MwanzoDhikriAnachosema anaeogopa kupatwa na kijichodhikri 1

Anachosema anaeogopa kupatwa na kijicho — dhikri 1

دعاء من خشي أن يصيب شيئا بعينه · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

((إِذَا رَأَى أَحَدُكُم مِنْ أَخِيهِ، أَوْ مِنْ نَفْسِهِ، أَوْ مِنْ مَالِهِ مَا يُعْجِبُهُ [فَلْيَدْعُ لَهُ بِالْبَرَكَةِ] فَإِنَّ الْعَيْنَ حَقٌّ)).

Akiona mmoja wenu kwa ndugu yake, au kwake, au mali yake, kinachomfurahisha, akiombee baraka, kwani kijicho ni kweli. (Kwa kusema: ''Ewe Mwenyezi Mungu mbariki kwa hicho.'' ....Au aseme: ''Haya ndiyo Mwenyezi Mungu aliyoyataka, hakuna nguvu ila za Mwenyezi Mungu.''

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha