((إِذَا سَمِعْتُمْ صِيَاحَ الدِّيَكَةِ فَاسْأَلُوا اللَّهَ مِنْ فَضْلِهِ؛ فَإِنَّهَا رَأَتْ مَلَكاً وَإِذَا سَمِعْتُمْ نَهِيقَ الْحِمَارِ فَتَعَوَّذُوا بِاللَّهِ مِنَ الشَّيطَانِ؛ فَإِنَّهُ رَأَى شَيْطَاناً)).
Amesema Mtume (s.a.w): ''Mkisikia mlio wa jogoo muombeni Mwenyezi Mungu fadhila zake kwani huwa amemuona Malaika, na mkisikia mlio wa punda basi takeni hifadhi kwa Mwenyezi Mungu kwani huwa amemuona shetani.''
Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham