MwanzoDhikriDua ya msafiri unapoingia usikudhikri 1

Dua ya msafiri unapoingia usiku — dhikri 1

دعاء المسافر إذا أسحر · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

((سَمَّعَ سَامِعٌ بِحَمْدِ اللَّهِ، وَحُسْنِ بَلاَئِهِ عَلَيْنَا، رَبَّنَا صاحِبْنَا، وَأَفْضِلْ عَلَيْنَا، عَائِذاً بِاللَّهِ مِنَ النَّارِ)).

Amesikia msikilizaji kusifiwa kwa Mwenyezi Mungu, na uzuri wa neema zake juu yetu. Mola wetu kuwa nasi na tufadhilishe, hali ya kuwa tunajilinda kwa Mwenyezi Mungu kutokana na moto.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha