MwanzoDhikriNyiradi za asubuhi na jionidhikri 20

Nyiradi za asubuhi na jioni — dhikri 20

أذكار الصباح والمساء · Hisnul Muslim · 20 / 24

Soma · SikilizaFaili la PDF

((سُبْحَانَ اللَّهِ وَبِحَمْدِهِ: عَدَدَ خَلْقِهِ، وَرِضَا نَفْسِهِ، وَزِنَةَ عَرْشِهِ، وَمِدَادَ كَلِمَاتِهِ)) (ثلاثَ مرَّاتٍ إذا أصبحَ).

Ewe Mwenyezi Mungu, nakuomba elimu yenye manufaa (yenye kunufaisha), na riziki iliyo nzuri, na ibada yenye kukubaliwa.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha