MwanzoDhikriDua ya kuchukia ndege mbayadhikri 1

Dua ya kuchukia ndege mbaya — dhikri 1

دعاء كراهية الطيرة · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ لاَ طَيْرَ إِلاَّ طَيْرُكَ، وَلاَ خَيْرَ إِلاَّ خَيْرُكَ، وَلاَ إِلَهَ غَيْرُكَ)).

Ewe Mwenyezi Mungu hapana ndege mbaya ila ndege wako, na hapana kheri ila kheri yako, na hapana apasae kuabudiwa kwa haki asiyekuwa Wewe.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha