MwanzoDhikriDua ya kuomba unapoona matunda yanachipua kwenye mitidhikri 1

Dua ya kuomba unapoona matunda yanachipua kwenye miti — dhikri 1

الدعاء عند رؤية باكورة الثمر · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ بَارِكْ لَنَا فِي ثَمَرِنَا، وَبَارِكْ لَنَا فِي مَدِينَتِنَا، وَبَارِكْ لَنَا فِي صَاعِنَا، وَبَارِكْ لَنَا فِي مُدِّنَا)).

Ewe Mwenyezi Mungu tubarikie matunda yetu, na tubarikie mji wetu, na tubarikie pishi (Swaa) yetu, na tubarikie kibaba (Mudd) chetu. (Swaa moja ni sawa na Mudd nne, na Mudd moja ni kipimo cha viganja vya mikono mara nne).

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha