MwanzoDhikriDua ya kuona mwezi unapoandamadhikri 1

Dua ya kuona mwezi unapoandama — dhikri 1

دعاء رؤية الهلال · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُ أَكْبَرُ، اللَّهُمَّ أَهِلَّهُ عَلَيْنَا بِالْأَمْنِ وَالْإِيمَانِ، وَالسَّلاَمَةِ وَالْإِسْلاَمِ، وَالتَّوْفِيقِ لِمَا تُحِبُّ رَبَّنَا وَتَرْضَى، رَبُّنَا وَرَبُّكَ اللَّهُ)).

Mwenyezi Mungu ni Mkubwa, Ewe Mwenyezi Mungu uanzishe kwetu kwa amani,na imani na usalama na uislamu, na taufiq ya kile unachokipenda Mola wetu na kukiridhia, Mola wetu na Mola wako ni Mwenyezi Mungu.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha