MwanzoDhikriDua ya kuomba mvuadhikri 2

Dua ya kuomba mvua — dhikri 2

من أدعية الاستسقاء · Hisnul Muslim · 2 / 3

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ أَغِثْنَا، اللَّهُمَّ أَغِثْنَا، اللَّهُمَّ أَغِثْنَا)).

Ewe Mwenyezi Mungu, tuokoe kwa kututeremshia mvua, Ewe Mwenyezi Mungu, tuokoe kwa kututeremshia mvua, Ewe Mwenyezi Mungu, tuokoe kwa kututeremshia mvua.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha