MwanzoDhikriDua ya radidhikri 1

Dua ya radi — dhikri 1

دعاء الرعد · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

((سُبْحَانَ الَّذِي يُسَبِّحُ الرَّعْدُ بِحَمْدِهِ وَالْمَلاَئِكةُ مِنْ خِيفَتِهِ)).

Alikuwa Abdallah bin Zubeir (r.a) akisikia radi basi huacha mazungumzo , badala yake husema: ''Ametakasika yule ambae radi zinamtakasa kwa sifa zake, na Malaika pia kwa kumuogopa.''

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha