MwanzoDhikriDua ya aliyeingiwa na wasiwasi katika swala yake au kisomo chakedhikri 1

Dua ya aliyeingiwa na wasiwasi katika swala yake au kisomo chake — dhikri 1

دعاء الوسوسة في الصلاة و القراءة · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

((أَعُوذُ بِاللَّهِ مِنَ الشَّيطَانِ الرَّجِيمِ، وَاتْفُلْ عَلَى يَسَارِكَ (ثلاثاً))).

Najilinda kwa Mwenyezi Mungu, kutokana na shetani aliyelaaniwa. ...kisha utatema vijimate vichache, upande wa kushoto mara tatu. Imepokewa kutoka kwa Uthman Ibn Al-Ass (r.a) amesema: 'Nilimwambia Mtume (s.a.w): Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu hakika shetani amenikalia kati yangu na kati ya swala yangu na kisomo changu, ananitatiza. Mtume (s.a.w) akasema: Huyo ni shetani aitwae ''Khanzab'' ukimuhisi amekuijia, basi muombe hifadhi Mwenyezi Mungu, na tema vijimate vichache, kushotoni mwako mara tatu. ....nikafanya hivo, Mwenyezi Mungu akaniondoshea.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha