MwanzoDhikriKuomba dua dhidi ya aduidhikri 1

Kuomba dua dhidi ya adui — dhikri 1

الدعاء على العدو · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ مُنْزِلَ الْكِتَابِ، سَرِيعَ الْحِسَابِ، اهْزِمِ الأَحْزَابَ، اللَّهُمَّ اهزِمْهُمْ وَزَلْزِلْهُمْ)).

Ewe Mwenyezi Mungu, Mteremshaji wa kitabu, Mwepesi wa kuwahesabu (waja wako), vishinde vikosi. Ewe Mwenyezi Mungu, washinde na watetemeshe.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha