MwanzoDhikriAnayoyafanya mwenye kuota ndoto njema au mbayadhikri 1

Anayoyafanya mwenye kuota ndoto njema au mbaya — dhikri 1

ما يفعل من رأى الرؤيا أو الحلم · Hisnul Muslim · 1 / 2

Soma · SikilizaFaili la PDF

[ (يَنْفُثُ عَنْ يَسَارِهِ (ثلاثاً)) - (يَسْتَعِيذُ بِاللَّهِ مِنَ الشَّيطَانِ وَمِنْ شَرِّ مَا رَأَى (ثَلاَثَ مَرَّاتٍ)) - ((لاَ يُحَدِّثْ بِهَا أَحَداً)) - ((يَــتَحَوَّلُ عَنْ جَنْبِهِ الَّذِي كَانَ عَلَيْهِ)) ]

Ndoto njema inatoka kwa Mwenyezi Mungu na ndoto mbaya inatoka kwa mashetani. (114) Akiona mmoja wenu ndoto nzuri asimzungumzie ila yule anaempenda, na anaeona ndoto mbaya anatakiwa apulize kushotoni kwake mara tatu. -Kisha atake (aombe) hifadhi kwa Mwenyezi Mungu kutokana na shari ya shetani na shari ya alichokiona, mara tatu. -Kisha asilalie ule upande au ubavu aliootea, bali ageukie ubavu mwingine.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha