(الْحَمْدُ للَّهِ الَّذِي كَسَانِي هَذَا (الثَّوْبَ) وَرَزَقَنِيهِ مِنْ غَيْرِ حَوْلٍ مِنِّي وَلاَ قُوَّة...)
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu ambae amenivisha nguo hii, na kuniruzuku pasina uwezo kutoka kwangu wala nguvu. (Waitoa Ahlu Ssunani isipokuwa Nnasai: Abuu Daud, namba 4023, na Tirmidhy, namba 3458, na Ibni Maajah, namba 3285, na akaifanya nzuri Albaany katika Ir'waai Al-ghaliil, 47/7)
Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham