MwanzoDhikriTakbira atakapofika katika hajar al-as'wad (katika alkaaba)dhikri 1

Takbira atakapofika katika hajar al-as'wad (katika alkaaba) — dhikri 1

التكبير إذا أتى الركن الأسود · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

((طَافَ النَّبيُّ صلى الله عليه وسلم بِالْبَيْتِ عَلَى بَعِيرٍ كُلَّمَا أَتَى الرُّكْنَ أَشَارَ إِلَيْهِ بِشَيْءٍ عِنْدَهُ وَكَبَّرَ)).

Mtume (s.a.w) alitufu (kuzunguka Al-Kaabah) (akiwa) juu ya ngamia, kila anapofika katika Hajaril-As'wad (jiwe jeusi) alikuwa anaashiria kwa fimbo yake, na kusema: ''Mwenyezi Mungu ni Mkubwa.''

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha