MwanzoDhikriDua ya kuingia nyumbanidhikri 1

Dua ya kuingia nyumbani — dhikri 1

الذكر عند دخول المنزل · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

(بِسْمِ اللَّهِ وَلَجْنَا، وَبِسْمِ اللَّهِ خَرَجْنَا، وَعَلَى اللَّهِ رَبِّنَا تَوَكَّلْنَا، ثُمَّ لِيُسَلِّمْ عَلَى أَهْلِهِ).

Kwa jina la Mwenyezi Mungu tunaingia, na kwa jina la Mwenyezi Mungu tunatoka, na Mola wetu tunamtegemea. Kisha asalimie walio ndani:

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha