MwanzoDhikriNyiradi za wakati wa kulaladhikri 6

Nyiradi za wakati wa kulala — dhikri 6

أذكار النوم · Hisnul Muslim · 6 / 13

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ قِنِي عَذَابَكَ يَوْمَ تَبْعَثُ عِبَادَكَ)).

Alikuwa Mtume (s.a.w) akitaka kulala anaweka mkono wake wa kulia chini ya shavu lake, kisha anasema: ''Ewe Mwenyezi Mungu nikinge na adhabu yako siku utakayo wafufua waja wako. (mara tatu).

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha