MwanzoDhikriNyiradi za wakati wa kulaladhikri 12

Nyiradi za wakati wa kulala — dhikri 12

أذكار النوم · Hisnul Muslim · 12 / 13

Soma · SikilizaFaili la PDF

((يَقْرَأُ ﴿الم﴾ تَنْزِيلَ السَّجْدَة ِ، وَتَبَارَكَ الَّذي بِيَدِهِ الْمُلْكُ)).

(110) Mtume (s.a.w) alikuwa halali mpaka asome Suratu-Sajda na Suratul-Mulku.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha