MwanzoDhikriDua ya kuingia mjini au kijijinidhikri 1

Dua ya kuingia mjini au kijijini — dhikri 1

دعاء دخول القرية أو البلدة · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ رَبَّ السَّمَوَاتِ السَّبْعِ وَمَا أَظْلَلْنَ، وَرَبَّ الأَرَضِينَ السَّبْعِ وَمَا أَقْلَلْنَ، وَرَبَّ الشَّياطِينِ وَمَا أَضْلَلْنَ، وَرَبَّ الرِّيَاحِ وَمَا ذَرَيْنَ، أَسْأَلُكَ خَيْرَ هَذِهِ الْقَرْيَةِ، وَخَيْرَ أَهْلِهَا، وَخَيْرَ مَا فِيهَا، وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّهَا، وَشَرِّ أَهْلِهَا، وَشَرِّ مَا فِيهَا)).

Ewe Mwenyezi Mungu, Mola wa mbingu saba na kila ambacho hizo mbingu zimekipa kivuli, na Mola wa ardhi saba na kila ambacho zimebeba, na Mola wa mashetani na walicho kipoteza, na Mola wa upepo na ulicho kibeba, nakuomba kheri ya kijiji hiki, na kheri ya watu wake, na kheri ya vilivyo ndani yake, najilinda kwako na shari ya kijiji hiki, na shari ya watu wake, na shari iliyomo ndani yake.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha