MwanzoDhikriDua ya kupanda mnyama au chombo chochote cha kusafiriadhikri 1

Dua ya kupanda mnyama au chombo chochote cha kusafiria — dhikri 1

دعاء الركوب · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

((بِسْمِ اللَّهِ، وَالْحَمْدُ للَّهِ ﴿سُبْحَانَ الَّذِي سَخَّرَ لَنَا هَذَا وَمَا كُنَّا لَهُ مُقْرِنِينَ، وَإِنَّا إِلَى رَبِّنَا لَمُنقَلِبُونَ﴾، ((الْحَمْدُ لِلَّهِ، الْحَمْدُ لِلَّهِ، الْحَمْدُ لِلَّهِ، اللَّهُ أَكْبَرُ، اللَّهُ أَكْبَرُ، اللَّهُ أَكْبَرُ، سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ إِنِّي ظَلَمْتُ نَفْسِي فَاغْفِرْ لِي؛ فَإِنَّهُ لاَ يَغْفِرُ الذُّنُوبَ إِلاَّ أَنْتَ)).

Kwa jina la Mwenyezi Mungu, na sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, ametakasika ambae ametudhalilishia sisi hiki (chombo au mnyama) na hatukuwa sisi kwacho ni wenye uwezo, nasi kwa Mola wetu tutarejeshwa. Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu ni Mkubwa, Mwenyezi Mungu ni Mkubwa, Mwenyezi Mungu ni Mkubwa, kutakasika ni kwako Ewe Mwenyezi Mungu, hakika mimi nimeidhulumu nafsi yangu basi nisamehe, kwani hakuna mwenye kusamehe madhambi ila Wewe.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha