MwanzoDhikriDua ya kumuombea anaekwambia anakupenda kwa ajili ya Mwenyezi Mungudhikri 1

Dua ya kumuombea anaekwambia anakupenda kwa ajili ya Mwenyezi Mungu — dhikri 1

الدعاء لمن قال إني أحبك في الله · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

((أَحَبَّكَ الَّذِي أَحْبَبْتَنِي لَهُ)).

Akupende ambae umenipenda mimi kwa ajili yake.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha