MwanzoDhikriKumuombea dua anaekuombea msamaha kwa Mwenyezi Mungudhikri 1

Kumuombea dua anaekuombea msamaha kwa Mwenyezi Mungu — dhikri 1

الدعاء لمن قال غفر الله لك · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

((وَلَكَ)).

Imepokewa kutoka kwa Abdillahi bin Sajis (r.a) amesema: Nilimjia Mtume (s.a.w) nikala katika chakula chake, kisha nikamwambia: ''Mwenyezi Mungu akusamehe Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu.'' Akaniambia: ''Nawe akusamehe.''

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha