MwanzoDhikriDua ya aliyealikwa chakula lakini akawa amefungadhikri 1

Dua ya aliyealikwa chakula lakini akawa amefunga — dhikri 1

دعاء الصائم إذا حضر الطعام ولم يفطر · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

((إِذَا دُعِيَ أَحَدُكُمْ فَلْيُجِبْ، فَإِنْ كَانَ صَائِماً فَلْيُصَلِّ، وَإِنْ كَانَ مُفْطِراً فَلْيَطْعَمْ)) ، وَمَعْنَى فَلْيُصَلِّ أَيْ فَلْيَدْعُ.

Akialikwa mmoja wenu aitikie wito, akiwa amefunga basi awaombee dua, na kama hakufunga basi ale.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha