MwanzoDhikriDua ya kumhani aliyefiwadhikri 1

Dua ya kumhani aliyefiwa — dhikri 1

دعاء التعزية · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

((إِنَّ للَّهِ مَا أَخَذَ، وَلَهُ مَا أَعْطَى، وَكُلُّ شَيْءٍ عِنْدَهُ بِأَجَلٍ مُسَمَّى... فَلْتَصْبِرْ وَلْتَحْتَسِبْ)). وَإِنْ قَالَ: ((أَعْظَمَ اللَّهُ أَجْرَكَ، وَأَحْسَنَ عَزَاءَكَ، وَغَفَرَ لِمَيِّتِكَ)) فَحَسَنٌ.

Kwa hakika nicha Mwenyezi Mungu alichokichukua, na ni chake alichokitoa, na kila kitu kwake kina muda maalum. ....(Kisha Mtume (s.a.w) akamwambia): Basi vumilia na taka malipo kwa Mwenyezi Mungu. Na akisema: ''Mwenyezi Mungu ayafanye mengi malipo yako, na akufanye kuzuri kutaaziwa (kuhaniwa) kwako, na amsamehe maiti wako. ......Basi ni bora.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha