((مَنْ كَانَ آخِرُ كَلاَمِهِ لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ دَخَلَ الْجَنَّةَ)).
Amesema Mtume (s.a.w): Mtu ambae neno lake la mwaisho litakuwa ni: (Laa ilaaha ila Allaah). ''Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu.'' .........Ataingia peponi.
Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham