MwanzoDhikriDua ya kutoka nyumbanidhikri 1

Dua ya kutoka nyumbani — dhikri 1

الذكر عند الخروج من المنزل · Hisnul Muslim · 1 / 2

Soma · SikilizaFaili la PDF

(بِسْمِ اللَّهِ، تَوَكَّلْتُ عَلَى اللَّهِ، وَلَاَ حَوْلَ وَلَا قُوَّةَ إِلاَّ بِاللَّهِ).

Kwa jina la Mwenyezi Mungu (ninatoka), ninamtegemea Mwenyezi Mungu, na hapana uwezo wala nguvu ila vyote vinatokana na Mwenyezi Mungu.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha